logo

(+255) 766945430

ESSENTIAL INGREDIENTS OF LENDING ACTIVITY

Wajasiliamali wadogowadogo

Hawa ni paoja na mama ntilie, machinga, bodaboda, saluni ( hawa ni ale wasiokuwa na leseni za biashara) n.k
  • Mteja pamoja na mdhamini wake wawe na barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa mtaa
  • Nakala ya kitambulisho cha taifa(NIDA) au cha mpiga kura ( mteja pamoja na mdhmini)
  • Pasport size mbili za mteja pamoja na mdhamini wake
  • Barua ya makubaliano ya kifamilia(ikiwa mkopaji ni mke au mme) kama hujaoa au kuolewa hiki kipengele hakikuhusu
  • Uthibitisho wa umiliki halali wa dhamana uliyoiweka( Dhamana ya hati ya nyumba , kiwanja, gari au bajaji au dhamana ya mali zingine ulizonazo)
  • Uthibitisho wa umiliki halali wa biashara
  • Rejesho la mkopo ni la kila siku ndani ya mwezi mmoja

Wafanyabishara

Hawa ni wafanyabiashara wa kati na wakubwa
  • Mteja pamoja na mdhamini wake wawe na barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa mtaa
  • Nakala ya kitambulisho cha taifa(NIDA) au cha mpiga kura ( mteja pamoja na mdhmini)
  • Pasport size mbili za mteja pamoja na mdhamini wake
  • Barua ya makubaliano ya kifamilia(ikiwa mkopaji ni mke au mme) kama hujaoa au kuolewa hiki kipengele hakikuhusu
  • Uthibitisho wa umiliki halali wa dhamana uliyoiweka( Dhamana ya hati ya nyumba , kiwanja, gari au bajaji au dhamana ya mali zingine ulizonazo)
  • Nakala ya leseni ya biashara
  • Rejesho la mkopo ni la kila siku ndani ya mwezi mmoja mpaka Mwaka

Vikundi vya SACCOS

Hawa ni kwa wale walioanzisha vikundi vya kuanzia watu watano na kuendelea
  • Barua ya utambulisho ya nyumba unayoishi kutoka kwa mjumbe wako wa mtaa
  • Nakala ya kitambulisho cha taifa(NIDA) au cha mpiga kura ( mteja pamoja na mdhmini)
  • Pasport size kulingana na idadi ya watu katika kikundi pamoja na mdhamini
  • Uthibitisho wa umiliki halali wa dhamana uliyoiweka( Dhamana ya hati ya nyumba , kiwanja, gari au bajaji au dhamana ya mali zingine ulizonazo)
  • Nakala ya leseni ya biashara au Uthibitisho wa halali wa Kikundi chenu
  • Rejesho la mkopo ni la kila siku ndani ya mwezi mmoja mpaka Mwaka

Waajiliwa

Hawa ni wafanyakazi serikalini na sekta binafsi
  • Barua ya utambulisho ya nyumba unayoishi kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa
  • Passport size mbili
  • kitambulisho cha taifa(NIDA) au cha mpiga kura
  • Kitambulisho cha ajira
  • Salary slips (Za miezi 3 nyuma)
  • Mikataba ya ajira(Iliyothibitishwa na mwajiri)
  • Kwa kuwa dhamana ni mshahara wako, Basi unatakiwa uje na barua ya mwajiri wako inayoonesha kukubaliwa kukata mshahara wako uje kwenye account yetu
  • Marejesho ya mkopo yanafanyika kwa mwezi( tarehe za mshahara)